ADASA - Nawe Lyrics
ADASA - Nawe Lyrics
Nakupenda mpaka nashindwa kuandika
Nimebakisha peni mkononi
Akili yangu umeiteka mazima
Nimebaki na feel moyoni
Ni wewe
Mwandani wangu wa maisha
Ni wewe
Kipenzi changu cha mwisho
Mimi nawewe
Tuishi mpaka tuishe
Mimi nawewe
Tuishi mpaka tuishe
You be driving me crazy
Nawe
Acha nibaki nawe
Kukuacha minaona siwezi
Nawe
Acha nibaki nawe
You be driving me crazy
Nawe
Acha nibaki nawe
Kukuacha minaona siwezi
Nawe
Acha nibaki nawe
Take it slow tusiharakishe mambo Kwa hili penzi tushafunga mabao
Mpira wetu tucheze kisayansi
Tuwewashindi kwa Ligi ya mapenzi
Milele
Tupige sote sherehe
Kileleeeni
Tufike sote mi nawe
Mimi nawewe
Tuishi mpaka tuishe
Mimi nawewe
Tuishi mpaka tuishe
You be driving me crazy
Nawe
Acha nibaki nawe
Kukuacha minaona siwezi
Nawe
Acha nibaki nawe
You be driving me crazy
Nawe
Acha nibaki nawe
Kukuacha minaona siwezi
Nawe
Acha nibaki nawe
Comments
Post a Comment